Tuesday, February 9, 2010

Washiriki wa Shindano la Wikipedia ya Kiswahili 2009/2010

Salam teeeele! Eti leo ndiyo imefikia tamati ili kutangaza nini kilitokea baada ya mashindano. Waliobahatika kuwa washindi wa zawadi kubwa ni pamoja na Kandyzo (a.k.a mzee wa kuuchuna), Samson Maosa (a.k.a mzee wa kazi mikazo na usongo), Abbas Mahmoud (a.k.a mzee wa kususa na kusubiri LAPTOP), Maria Alphonce (a.k.a Bi. cha Pupa), na wengineo walikuwa washindi. Hapa chini ninaonesha orodha kamili (lakini kwa Kimombo) - ambayo inataja washindi wakuu na wengineo!

Now, please join me in congratulating the final prize winners. Congratulations for your hard work and passion for Kiswahili!!

*Final Prize Winners:

*Grand Prize Winners

Kenyatta University - Peter Kanda (Kandyzo)
JKUAT - Samson Maosa (Coolsam)
Strathmore University - Abbas Mahmoud (Abbasjnr)
University of Dar es Salaam - Maria Alphonce (Maria alphonce)

First Prize Winners

IFM - Janeth J Jonathan (Janeth J Jonathan)
JKUAT - Limoke Oscar (Limoke oscar)
Strathmore University - Daniel Kimani (Kimanikihiu)
University of Dar es Salam - Moses Kehengu (Moseske)
University of Nairobi - Peter Kamero (Kamero)
Individual - Neville Tirimba (Perijove)

Second Prize Winners

JKUAT - Eric Kosgey (Erickosgey)JKUAT - Kenneth Kirop (Kiropkanda)
Kenyatta University - Jacob Kipkoech (Jakibiro)Strathmore University - Mark Ekisa (Ivermac)Strathmore University - Erick Njenga (Erick njenga)UDSM - Mwasapi Kihongosi (Mwasapi kihongosi)
University of Nairobi - Martin Nduati (Nduati)
University of Nairobi - Damiano Wanjohi (Wawanjohi)

Third Prize Winners

Kenyatta University - Chacha Maroa (Chamaroa)
Strathmore University - Alex Wafula (Xelawefs)
Strathmore University - Patrick Kinyua (Rickiny)